Mfumo wa malipo salama unaowawezesha wauzaji na wanunuzi mtandaoni kufanya biashara bila wasiwasi. Fedha za mteja hushikiliwa salama mpaka mteja athibitishe kupokea bidhaa ndipo fedha huachiliwa kwa muuzaji.
Mfanyabiashara thibitisha namba yako ya simu hapa ilil kuendelea...